Recent content by borakupata

  1. B

    Shule ya Kigoma Sekondary yafungwa

    Katika hali isiyotarajiwa mkuu wa wilaya ya Kigoma Mjini ndugu Maneno Ramadhani jana alifukuza wanafunzi wote wa shule ya sekondari ya wanaume ya Kigoma baada ya wanafunzi hao kufanya mgomo wa kuukataa uongozi wa shule hiyo.
  2. B

    simu inauzwa

    simu aina ya samsung nexus inauzwa kwa kiasi cha tsh 250000 ina internal memory ya 16gb kwa anayetaka apige 0755945575
  3. B

    Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    usitukane mamba kabla haujavuka mto '' haya maneno ya wazee wetu yalikua na maana sana huyu mzee sijui anajionaje sasa hivi
  4. B

    Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    usitukane mamba kabla haujavuka mto '' haya maneno wazee wetu yalikua na maana sana huyu mzee sijui anajionaje sasa hivi
  5. B

    Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    Hakuna malipo hapo wanatimiza wajibu wao
  6. B

    Dr Slaa alakiwa Buhingwe-Kigoma kwa Shangwe Kubwa

    tupia picha mkuu tuamini mane no yakou
  7. B

    Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

    Si kila siku anawaponda leo wamekua rafiki zake? Chezea mawe bado kigoma town
  8. B

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Ye amejuaje kama hao vijana ni wa ccm au ndio anawapa moyo
Back
Top Bottom