Naombeni kujua, kwa mtu ambaye amesha wahi fanya oral interview ya utumishi. Kila mtu ana tumia dakika ngapi (Mda wanao kupa kwenye oral)
Mara nyingi mda ni dakika ngapi per person?
Habarini za asubuhi, tupeni mrejesho mliofanya written, wale wa TBC, TCRA, DATA ANALYST, Benjamini hospital etc.
Je maswali yalikua ya kuchagua (aptitude test) au kuna kada baadhi mlifanya written ya kuandika mfano explain, define, mention etc
Sawa, je utaanza kutaja your education back ground. Mfano primary, Secondary, advance, hadi chuo. Au unaanza kutokea kwenye your highest qualification. Na je part ya experience kuna mtu aliniambia ndio part unayo takiwa zungumuzia sana
Wakuu mimi nina swali. Kwa mfano ukiingia kwenye oral interview ya utumishi, je pale kwenye swali la "TELL US ABOUT YOUR SELF", je kwenye ile pannel ya utumishi huwa wana zingatia sana experience yako kwenye position husika au vipi?. Je kuna uwezekano ukawaambia kuwa mimi ni jobless, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.