wananchi hawataki kwanini uwalazimishe unachotaka africa tunaitaji kiongozi wa kuwakemea wenzie kama zuma aliwahi kuwakemea wenzie na tuache sheria tulizojiwekea zifanye kazi. sasa mfano kinachoendelea congo viongozi najua mnapitia mitandao sana africa haita endelea kwa staili hii tujifunze...
mimi swalilangu africa ni lini tutaacha wananchi wachague wanachokitaka tutaleta vita sisi wenyewe hatutaki kama ya kenya mwekiti wa tume anaulizwa nani kashinda anasema mimi sijui nieambiwa tua nitangaze. sasa matokeo ya vituoni ndio uhakika tosha yatumike hayohayo ila na mawakala wawe...
miaka yote sijawaona mkila saani moja na sisi huu wali kalibia na uchaguzi, unajua mikoa mingine siku wakila wali lazima watangaze sasa tusiwahadae wananchi kila mtu anakwao atakula huko tudanganyike kirahisi
pili mgombea aende atembele mwananyala gafra wala asiwataarifu au temeke alafu...
inasikitisha sana kupiga mabom raia wasio nahatia haraka sana lakini.hapo yameondoka mapesa mangapi mji ambao unachuo cha mafunzo njia zote mnazijua yaani wameingia wametoka bila hata kuguswa utasema tuna ulinzi kweli hapi ni mjini. kiukweli police yetu inapaswa kujiuliza sana inafanya nini bank...
ninavyo fahamu mimi crdb kuna police wawili na kuna vifaa vya kubonyeza vya ulinzi na kuna soma jkt kama sijakosea sasa inakuwa hao majambazi wanaingia na wanaiba inamaana hao matela wa benk kila mmoja anakitufe cha hatari cha kubonyeza imekuwaje hivyo vyote havijawezekana??????
Mimi natoa angalizo jingine naona wengi mmelisahau la kwanza chaguzi iliopita songea alikamatwa mpiga kura akidumbukiza karatasi tatu maana yake yaani alipewa kalatasi tatu tatu sasa tume isiweke wasimamizi wenyemlengo fulani
pili kumekuwa na tabia baada ya kupiga kura wanakuja watu na hotport...
napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu kipindi kama hiki nikuwa makini.kipindi cha nyuma kwenye chaguzi ndogo za ubunge kwa mfano ilinga. wanachiwengi wa vijijini ni wakulima malanyingi huuza mazao yao kwa mkopo, ilipokalibia kipindi chamwisho kupiga kura wakulima waliambiwa pesa zenu za...
sikiliza niambie tusidanganyane kiutaratibu miaka yote nasheria haijabadilika zoezi lakupoga kula likiisha. zoezi linaloanza nilakuhesabu likiisha kunafom zipo pale kituoni yanajazwa matokea kopy kwa mawakala na msimamizi wa tume na nyingene inabandikwa nje ya kituo hiyo form ndi inatumika kule...
tatizo hao wamenda kusikiliza wasanii hawajafata sela za ccm kwa sabababu wamezizoea waliambiwa maisha bora kwa kilamtanzania matokeo yake shillingi imshukakabisa na maisha magumu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.