Dizain flan kama mnazingua hivi mjue, polisi sie wanatuhusu nini? Waache wapige watu ikibidi wawachinje wawapike supu wanywe na chapati ili wanenepeane!!!!! Angalieni vitu vya kupost jama
Kwa jinsi navyoona wabongo wanayvoshobokea wazungu, inaonyesha bado tuko nyuma sana. Hivi wazungu wakitoa tangazo kuwa kuna kazi ya kumegwa ulaya nauli bure halafu mshahara mnono wanaowaona wao wana akili sana si ndo watakimbilia fursa kwa kweli? Wazungu nini bhana???? Nyau tu! Msituletee mambo...
Kwani humu jf hKuna daktari wa akili? Kuna haja ya kupimana akili humu. Intrntional airport chato? Af watue wachawi au? We kwa akili zako ndege za kimataifa ziende chato kungalia wazazi wa presidaa au kushangaa waskuma na mashukashuka yao? Angalieni point za kupost humu bhana!!!
Acha mwanangu, ukifumaniwa hamna mbinu ya kukwepa kumegwa hata ukiibana unapakwa mafuta mwanangu. Watakuponza hao shauri ako, na umimegwa mara moja tu lazima umtafute basha wa kukumega kila siku, ndo pale tunaposema kamethali ketu ka uswazi eti mmega humegwa, aaaaah kumbe nimekosea... muosha...
Bro kwa maswali yako hayo dizaini flani km umebugi hiyi. We mwenyewe unahoji kama nani? Unamuhoji nani? Au unaandika tu ili tusome? Mfate mwenyewe ofisini kwake umuhoji, we vipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.