Yote uliyosema kama ushauri kwa chadema ni sahihi lkn cha kuingezea ni kwamba.
Chadema inatakiwa ifanye tafiti sehemu mbalimbali duniani ili kujifunza mengi kabla haijatoa semina elekezi kwa viongozi wake na haijafundisha vijana kuadopt mfumo wa chama.
Baada ya ku install system wafanye...
Habari za muda na wakati huu,
Kuna jambo limenitatiza, naomba msaada kwa anayefahamu. Nataka kuapply for tin number nature of business ni online business na sioni haja ya kujaza location information since sitarajii kulipia kodi ya upangaji wa eneo la biashara kwani biashara nayotaka kuifanya is...
Pascal umenena vyema lkn nadhani zaidi ya chadema kuonekana immature as you said tatizo ni kwamba hata uundwaji na namna ya kuratibu vyama vingi vya kisiasa nchini ni system inheritance from existing part.
Chadema or any party can be good enough kama vitaacha ku copy namna ya kuratibu shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.