Recent content by BongoBonge

  1. BongoBonge

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Daah! Huyu mtu sikuwahi kumsahau maishani mwangu na sitokuja kumsahau, Ni mtu ambaye aliifanya Physics kuwa rahisi Sana kwa Upande wangu kipindi hicho nipo pale Azaboy
  2. BongoBonge

    The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Mbona hujaattach hivyo vitabu kama ulivyohaidi?
  3. BongoBonge

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Unafanya Engineering gan mkuu. Unapata mil 50 mpaka 100 kwa project ya muda gani?
  4. BongoBonge

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Kipindi hizo palikuwa na mtata mmoja pale Azaboy na Mchikichini alikuwa akiitwa "MPETA BIZO"
  5. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jaman msihangaike nyie pigeni chabo tu, jibu nishatoa. NI ZERO
  6. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    All ni all, the Answer Is Zero ( 0). THE ONLY TRUE ANSWER IN THIS THREAD
  7. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Kwahiyo unahitajika kutafuta thaman ya huyu mtu asiye na filimbi, kisha ndo upate majibu
  8. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jibu lake hapo haliwez kuwa namba kamil tena! Jibu litabak kama equation fulan inayokosa thaman ya mtu asiye na filimbi ambaye thaman yake si sawa na wale wenzake. Nimemaliza, sijishughulishi tena.
  9. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Duh! Kudadek muda wote naangaika kumbe kipengele cha mwisho mtu wake ni tofauti na watu wale wengine ktk vipengele vingine. Kudadek kwel umetuweza.
  10. BongoBonge

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Jana saa kumi na mbili na dakika sita (12.06) nilijiunga kifurushi cha Yakwako Internet cha masaa 24, leo saa nane na dakika thelathini na tatu (8.33) wananitumia sms kwamba kifushi changu kimekwisha muda wake ( sio kimeisha kimatumizi), sasa huu...
  11. BongoBonge

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Simple calculations:- Let us assume Kiatu kimoja ni x Mtu mmoja ni y Filimbi mmoja ni z Sasa, 1. 2x + 2x + 2x = 30 6x = 30 x = 5 2. 2x + y + y = 20 2x + 2y = 20...
Back
Top Bottom