Recent content by bongo dili

  1. bongo dili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni sura nzuri, umbo zuri na haiba za kike tu basi

    Waliosema tabia Haina dawa sura utanunua dukani hawakuwa wajinga
  2. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Kuagiza magari

    Spea za magari mfano engine gearbox,nk wanacalculate vipi kodi
  3. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Kilimo Cha tumbaku
  4. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Kutojiamini
  5. bongo dili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Maamuzi yeyeto yasiathiri kesho ya watoto,mateja,mashoga,malaya,ni zao la single mama. Shetani haleti mitihani kwenye ndoa isiyotishia ufalme wake
  6. bongo dili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Thus ndoani ndo maambuzi yamejaa
  7. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Namtumbo ni tajiri kwa raslimali
  8. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Tumbaku wanalima
  9. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Mantrax Toka Ukraine wapo kwenye mchakato wa kuchimba uranium huko. Ukiona sehemu haifai kwa kilimo Mungu kaweka madini
  10. bongo dili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    KG kapunguza idadi ya wanaompinga,akazue na online Sasa
  11. bongo dili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Kwani we ni mchawi hadi umuogope nabii anatishia nguvu zako. Kama wanatoa kwa hiari Yao na pesa zao wewe shida Nini? Mbona kwa waganga wanatoa zaidi ya hizo. Unayapimaje mafundisho kuwa ni ya kweli au uongo. Kama avunji Sheria ya nchi hana kosa
  12. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Makaa ya mawe na chuma ukaa karibu ili utumie makaa kuyeyusha chuma ukuze uchumi.
  13. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Hata uranium ipo huko
  14. bongo dili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Labda umfunge kamba. Kumbuka wapo ma ex wake wanamjua Hadi ufunguni
Back
Top Bottom