Mjomba, africa unadai vipi haki, Wananchi wa niger wanasupport mapinduzi, Africa tunahitaji mageuzi makubwa wanasiasa sio watu wazuri mfano ni hapo ulipo.
Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
Alifanya hivyo kwa ajili ya kurudisha kile kilichopote, hilo pori limeungana na poli la kimisi kwenda karagwe huko ila wanyama walipotea kutokana na uvamizi wa warwanda na warundi. Hayo mapori ilikuwa ikifika saa kumi ya jioni barabara inafungwa mpaka asubuhi otherwise kuna escot ya polisi.
Binafsi nakupinga kusema mtangulizi alirudisha maisha nyuma, hata wewe ukitaka kubadilika lazima utumie maamuzi magumu ila unafanya mabadiliko, tusipotoshe watanzania mimi bado kijana ila niliweza kutambua ni nini mzee baba alikuwa anafanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.