Recent content by Bonge la bi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Magufuli na majipu, wananchi na hali ngumu

    Acheni serikali ifanye kazi yake.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya jipu la wakala wa vipimo sasa kuhamia NSSF

    Aha!kumbe hivi vizee vijizi sana mambo gani ya kuongeza mapesa yote hayo 100bil 'Mungu atawaona'.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

    Binafsi nisaidieni maswali daraja la Coco beach ni la nn?na kwa faida ya nani?mm nilifikiri bora tungejenga la salender lingetusaidia sana.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siri Nzito: TPA (Bandari) walivyowazidi kete Magufuli, Majaliwa

    Humu jamvini tusipige sana kelele tufikiri zaidi kwanini nchi za wenzetu walifikia Mahali wakawa wanapigana risasi waliona mbali sana.Tukifika huko lazima tutabadilika tu tofauti na hapo tutakaa sana kusubiri.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Hahahahaha kwikwikwikwi kumbe inawezekana tatizo mpaka Raisi aseme werawera RAISI usikae ofisini hata siku moja wazungukie watu kama hawa wa muhimbili wapo wengi sana.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Watu laki tatu wanaotaka kuiyumbisha Tanzania!

    Wapeni nchi Yao tujenge yetu na Mh.Raisi wetu pendwa Magufuli tuna shughuli ngumu ya kutumbua majipu na majipu uchungu.
Back
Top Bottom