Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Baada ya watu kushinda kwenye viyoyozi siku nzima wakati wagonjwa wakilala chini kwenye jumba linalovuja maji ya choo, Raisi aliagiza wafanyakazi wahame ili wapishe wagonjwa na hilo lilifanyika mara moja kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini!
Angalia mwisho kabisa ya ukuta utaona flat screen TV hawa ndiyo waliokuwa wanalilia kuona Bunge live TBC wakati wa kazi huku wagonjwa wakiwa wamelala chini na hawa wafanyakazi watakuwa wanachadema Tu!
Waziri wa Afya Bi.Umi Mwalimu akiratibu zoezi zima!
Wagonjwa wakiwa tayari juu ya vitanda vipya na wodi mpya, namna hii hata Mungu ni lazima atubariki kwa kujali watu wetu wenye udhaifu!
Hongera Raisi Magufuli hongera Waziri Mwalimu!

HAPA KAZI TU!