Recent content by BONAVENTURE KACHILA

  1. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    "Japo ni maskini lilikupenda kwa dhati Niliamini moyoni mapenzi siyo pesa Wapo wenye pesa wameshindwa kununua penzi Ulinidharau ...... Aeee Ulidharau nazi wakati embe ni tunda la msimu Kufika mjini ukageuka pazia huwezi toka ndani kama hujaletewa mdundiko ukipita unauchezea ndani ...
  2. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    "Nilipokuona mara ya kwanza Jackie nilijiuliza Malaika katoka wapi kweli Baba Mungu alikuumba nywele za kuanguka uko mrembo Jackie........ Mungu akulinde mama akusaidie pia ....." Nautafuta sana wimbo huu,umeimbwa na Mwanamziki wa kike nadhani kutoka Kongo
  3. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Samsung galaxy s10 Outer Glass

    Samsung galaxy s10 Outer glass inauzwa TZS. 40,000/= Ni mpya kabisa.
  4. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Circuit Board inauzwa

    Circuit board ya TV Inchi 43 PT430CT02 - 1 - C - 5 inauzwa. Bei TZS. 80,000/= Ni mpya kabisa.
  5. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Juma Kakere - Bety
  6. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Lady Issa
  7. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mpongo Love-Ndaya
  8. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    African Revolution Band--Chande (Muumini Mwinjuma)
  9. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Kioo cha xiaomi Mi pro

    Agiza online. Aliexpress ni siku 23 hadi 28 unapokea kioo chako.
  10. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Kwa wale tunaonunua bidhaa eBay tunaelewa Unachokizungumza Mkuu. Usikatishwe tamaa, endelea kuelimisha wenye kutaka kuelewa.
  11. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza kitu kwa kutumia forwarding company

    Tumia Aliexpress Standard Shipping au Singapore Post Endapo bidhaa unayoihitaji ina option ya shipping forward moja tu, usichoke endelea kutafuta nyingine zenye option nyingi.
  12. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania PC yangu ya Lenovo inagoma nikichomeka waya wa USB kutoka kweny simu

    Nenda Setting---Additional Setting----OTG Connection
  13. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    OSS Skasi Kasambula -Christina Moshi Tshimanga Asosa(Legho Star) - Fransisca
  14. BONAVENTURE KACHILA

    JamiiForums Tanzania Msaada, Kikuu online market

    Hapana Gharama zingine ni hiyo hiyo uliyolipa.
Back
Top Bottom