Recent content by bomouwa

  1. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Yeye ameshakua bilionea? Kama maisha yake hata wewe huyaelewi then dont dare.
  2. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Karibu sana chief.
  3. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Kuna nilipoandika najua kila kitu?Wanasayansi hatuamini kirahisi.Nipe link nami nielimike.I studied Wildlife Science na sijawahi sikia.Sasa kma ndugu unajua basi unanijuza.Au sio chief?
  4. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Sijawahi kuwasikia.
  5. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Yes chief.Kwa wanaofanya michezo ya Mountain Biking wanafahamu hii.
  6. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Ingia hapo dartrail.fasthub.co.tz kuna details zote.Lakini kwa kukujibu tu gharama ni 49,500TZS na hii inajumlisha 1.Entry fee 2.Medali 3.Beeps 4.Vinywaji (kwa wanaokimbia na waendeshaji baskeli katika vituo)
  7. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Maelekezo yapi kaka?
  8. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Kwakua sio kila upuuzi ni upuuzi mtupu sina budi kuheshimu upuuzi ulioandika.
  9. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Hii ipo kwenye mfumo chief hakuna malipo ya kwenye simu personal.Ndio maana hiyo website imetengenezwa.
  10. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Hakika
  11. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Pande Game Reserve hifadhi Pekee jijini Dar es Salaam

    Habari! Je wajua kua katika jiji la Dar es Salaam kuna Hifadhi ya Pori la Akiba Pande?Ni mojawapo ya Pori linalosimamiwa na MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA).Ni kilometa 45 tu kutokea mjini Askari monument kuelekea Bagamoyo na unapokaribia kufika Kituo cha Bunju B mkono wa...
  12. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

    SIJUI KWANINI AHMED ALI WA JICHO PEVU KENYA ASINGEKUA MTANZANIA.
  13. bomouwa

    JamiiForums Tanzania HII KALI... MKEMIA UMETISHA.

    Nsaidie walau kunijuza story ya tukio alilotengeneza.
  14. bomouwa

    JamiiForums Tanzania HII KALI... MKEMIA UMETISHA.

    wakali wa kemia hii ni Diamond vs Gwajiking
  15. bomouwa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Waswahili wananena Apangalo mola mwanadamu hawezi pangua.
Back
Top Bottom