kwa kuongezea tu boss, bidhaa ambazo zinatozwa VAT ni zile ambazo zimeongezewa thamani. Vitu kama, mchele, unga, mahindi etc havina VAT mpaka pale vitakapokua processed. so hao kuku wa singida, hawana VAT ila endapo utawachukua, ukawachinja, ukawapack vizuri ukawapia lebo, ukiuza hapo watakua na...