Recent content by bolizozo2

  1. B

    JamiiForums Tanzania Damu ya MoU mikononi mwa Lowassa na damu ya Mwembechai mikononi mwa Sumaye, ni najisi kwa UKAWA

    mauaji ya mwembechai yalikuwa wakati wa utawala wa mwinyi igp mahita waziri mkuu warioba sumaye hakuwepo kuweni wakweli
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya mbunge aliyevaa kininja jana bungeni wakati wa Sakata la ESCROW

    Nisaidieni kwani umeme ulikatika sikuweza kumuona.. nisaidieni wadau..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

    mbona picha ya Mbunge aliye vaa kininja haionekani hapa jamii forum?? nisaidieni
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waboyzia: Waliosoma Tabora boys tangazo maalum

    mimi nimesoma kuanzia1971 hadi 1976 na baba yangu ulikuwa headmaster wa kwanza mwafrika yupo hai bado
  5. B

    JamiiForums Tanzania Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    nilkuwa ts kuanzia mwaka 1971 mpaka1976 namkumbaka sana mwalimu Ndeki alinifundisha fizikia nacokumbuka alitengeneza kituo cha kurushia matangazo ya redio enzi hizo watu walishangaa sana,kuna mtu alimuulizia Kitula amestaafu jeshi wana ts wengine ni brigedia jenerali Kqriongo mkuu wa chuo cha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    Kitula alistaafa jeshini yupo uraiani mimi nilikuwa ts toka 71 na akina Mwakyembe,Mahingila wa Brela,brigedia generali Kariongo,kanali Msechu na wengine nashukuru kaw kukkumbuka Ndeki naitwa Paul Seme
Back
Top Bottom