Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Siha mheshimiwa Oscar Temi mbele ya Naibu Waziri mheshimiwa Aggrey Mwanri na Diwani wa Kata ya Kihurio wilaya ya Same ndugu Robson Mkorintho mbele ya Naibu Waziri mheshimiwa Anna Kilango wote kwa nyakati tofautitofauti walimwita Dkt.Magufuli kuwa ni "JEMBE" alipofanya...
Nakumbuka kuhudhuria kikao fulani cha Afrika Mashariki, wakenya walikuwa wakipinga sana kuijenga barabara hii ya Dsm - Chalinze kwa kuwa ingeua ile ya kwao ya Mombasa - Nairobi kwenda Uganda mpaka Rwanda na Burundi, sisi tulikataa katakata tukasimamia maslahi ya Taifa nahisi sasa imewezekana kwa...
Tanzania National Roads Agency (Tanroads) plans to install Weigh in Motion equipment to screen heavy trucks so as to reduce the congestions and save time at weighbridges, it has been learnt.
The plans are contained in a report released in Dar es Salaam by Tanroads titled: "Vehicle Overload...
Magufuli aungwe mkono kulinda barabara zetu
Katuni
Serikali hutumia mabilioni ya fedha kila mwaka kwa ajili ya kutengeneza barabara na miundombinu yake.
Kwa kutambua hilo, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli alisema juzi kuwa ataendelea kusimamia sheria...
Diwani wa kata ya Mbugani Hassan Kijuu alipomchambua Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akihudhuria kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la waenda kwa miguu, katika eneo la Mabatini jijini Mwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.