Recent content by BOFREE

  1. BOFREE

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    unaweka miaka mitatu kivipi wakati certificate ni mwaka mmoja na unachagua umesoma nn kama hauna weka cha form four na cha diploma jaza miaka 2 acha kuunganisha miaka, certificate ni certificate na diploma ni diploma siku ukiitwa usahili nenda na cha diploma na form four
  2. BOFREE

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    wakuu sheria mpya za michezo ya kubahatisha zimekataa madubwi kumilikiwa na wachina ivyo ni either madubwi anunue mbongo au wachina wajifanye yamesajiliwa navwabongo ni marufuku mchina kusajili madubwi ndio maana wanaondoka
  3. BOFREE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wajuaji wengi uyo jamaa mkeka wako hakuweka halafu mdomo mwingii lafah fulani ivi mwenye roho ya korosho
  4. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kupaua naomba kujua idadi ya bati na mbao hapa upana ni 6.15 meter na urefu ni 11.3 meter vyumba 2, Sebule, Jiko

    fundi kaniambia king post ni mita 2.8 sio bati litakua refu sana
  5. BOFREE

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
  6. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek

    uyo kazi hafanyi yeye ni dalali wa kutafuta wateja akamlalie fundi kwa 300,000 apate cha juu
  7. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kupaua naomba kujua idadi ya bati na mbao hapa upana ni 6.15 meter na urefu ni 11.3 meter vyumba 2, Sebule, Jiko

    du mzee kwa hesabu zipi ambae ataweka mahesabi sahihi tinafanyakazi saiti ipo bunju
  8. BOFREE

    JamiiForums Tanzania PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

    utamchaguaje mtu ambae anaweza kupata ajira kwa iyo level ya diploma apo mm namchagua form six1.3
  9. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kupaua naomba kujua idadi ya bati na mbao hapa upana ni 6.15 meter na urefu ni 11.3 meter vyumba 2, Sebule, Jiko

    habari naomba kujua idadi ya bati na mbao
  10. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

    uzi wa mwaka 2022 ndio unaona leo
  11. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja cha kununua

    mkuu sqm 150 ni ndogo sana iyo bora hata ingekua 300 maana kupimwa icho hakiwezi kamwe
  12. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja cha kununua

    DDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
Back
Top Bottom