Recent content by Boeing

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

    Ndugu jitambue kidogo. Mimi sio mchangiaji sana humu ila tumia akili japo kidogo. Nakonde imeonekana kama ndio epicenter ya maambukizi na madreva 26 waliopimwa asilimia kubwa (69%) ni watanzania. Tafsiri yake ni kwamba sisi ndio tunasambaza huu ugonjwa!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Mkirudi mjue mmeliwa. Otherwise mkirudi mdai Haya: 1. Daini katiba huru 2. Tume huru ya uchaguzi 3. Watendaji (Wasimamizi) waondolewe. Wapatikane huru. (Jiulizeni, hivi kilichotokea ni kwa bahati mbaya? Kama walipewa maagizo ya kutenda uovu na wakatenda, Je mkirudi hawatapewa tena maagizo na...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Ni ya kwanza ndio
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Duh, pressure itaniua. Kwa nn wanawake mnatufanyia hivi?
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Kwamba walisoma wote chuo
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Kwa ufupi, mke wangu ameefanikiwa kujifungua mtoto miezi miwili imepita sasa. Kama ilivyo kawaida wamemtembelea marafiki zake wakiwepo majirani na kumpa zawadi mbalimbali kama pongezi kwa kuleta kichanga duniani. Kuna jambo limenishangaza kidogo, ndio maana imebidi nije mnipe japo ushauri...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doggy style imeharibu vijana wengi

    Mama unaipenda?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tunaifuatilia habari, hamuwezi tena kutulisha matango pori

    Eti alijipiga risasi!! Hataree
  9. B

    JamiiForums Tanzania Si Mawaziri,Wabunge, Watumishi wakiwemo Walimu wala Wazazi wanaozikubali shule za Kata

    Hapana!! Msimchukulie hivyo. Toeni mawazo, Raid wetu ni mwelewa. Yumkini akayafanyia kazi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Si Mawaziri,Wabunge, Watumishi wakiwemo Walimu wala Wazazi wanaozikubali shule za Kata

    Kudos!! Ushauri mzuri sana Mkuu! Hope wazo litapokelewa na kufanyiwa kazi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Si Mawaziri,Wabunge, Watumishi wakiwemo Walimu wala Wazazi wanaozikubali shule za Kata

    Ni muda muafaka kutizama mfumo wetu wa elimu, kuupigania maana ndipo uhai wa taifa ulipo. Tusichoke
  12. B

    JamiiForums Tanzania Si Mawaziri,Wabunge, Watumishi wakiwemo Walimu wala Wazazi wanaozikubali shule za Kata

    MH RAIS IKIKUPENDEZA PITIA THREAD HII AU OFISI YAKO IKUFIKISHIE!!! Si Mawaziri,Wabunge, Watumishi wakiwemo Walimu wala Wazazi wanaozikubali shule za Kata Mh Rais,naandika kwa masikitiko, si tu kwa sababu ya matokeo ya hivi karibuni ya kidato cha nne, Bali ya muda mrefu, na mtazamo wa wote hapo...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara Paap, UKIMWI hamna...

    Binafsi ntafurahi sana. Sitakuwa nagopa ogopa maana hapa nilipo kuna vitu vizuri hatari ila sasa ndo hivyo.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    1. Familia inasema ni mzima kwa 100%. Mmeshafanya medical check up kujiridhisha hilo? 2. Mmesema alipiga simu nyumbani, mwanzoni ilisemekana alidondosha funguo za gari na simu. Vipi ni simu gani ametumia? Ilishindikana Ku trace hiyo namba siku zote hizi? Kwa siku zote simu haikuisha chaji? 3...
Back
Top Bottom