Wanahitajika Walinzi wachache wenye sifa zifuatazo:
1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate...
Salaam sana
Je; wewe ni mwanasiasa, mfanyabishara au raia ambaye maisha yako yako au familia yako hatarini?
Je, unahitaji Body Guards au Detectives ambao wamepitia mafunzo maalumu?
Tunatoa huduma zifuatazo kwa ambao wanafikiri usalama wao uko mashakani na wanahitaji walinzi binafsi na wapambe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.