Recent content by boda

  1. boda

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja Tausi, Uwa mnafanya utaratibu gani kwenda kuona kiwanja?

    Hapo kwa ushauri nenda ofisi ya Halmashauri husika omba kumwona wahusika ambao ni Surveyor au Town Planner mwambie unataka akupeleke site uweze kuona eneo lako. Pia hapo mwandalie nauli ya kukupeleka na si bure.
  2. boda

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Changamoto nimeiona ukiwa unasoma thread baada ya kufika mwisho. Ukirudi tena kwenye hiyo hiyo thread inakurudisha tena mwanzo kabisa uanze upya badala ya kuendelea pale ulipoishia
  3. boda

    JamiiForums Tanzania Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Amina. Mungu ni mwema kila wakati.
  4. boda

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara mbovu maeneo mengi manispaa ya Kahama,huku wananchi wakijinyima na kulipa kodi

    Kumbe ipo hivi. Poleni sana. Nilijua Kazi zimeeshaanza!
  5. boda

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara mbovu maeneo mengi manispaa ya Kahama,huku wananchi wakijinyima na kulipa kodi

    Mbona Manispaa ya Kahama imepata fedha toka World Bank kwa ajili ya Uboreshaji wa miundombinu ya barabara. Kazi kwani haijaanza? Mikataba mbona kama walisha saini.
  6. boda

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali kuanzisha chombo cha kuwasimamia madalali

    Aisee. Ndio maana ya uwepo JF. Umetoa wazo zuri.
  7. boda

    JamiiForums Tanzania Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Mimi pia nashauri aende Majimoto mkoa wa Katavi hasa kipindi hichi cha mavuno mwezi wa sita, saba
  8. boda

    JamiiForums Tanzania Shirika la ujasusi la Marekani CIA laipaisha Tanzania kwa kueleza madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee

    Hii inasaidia pia kwa upande wa kutangaza vivutio vyetu, maana vitu vingi vya kiutalii na kiuchumi vilivyopo upande wa Tanzania vinajulikana vipo Kenya.
  9. boda

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Nafikiri anamaanisha Oven ya Umeme au Gas ipi nzuri?
  10. boda

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Nafikiri anamaanisha Oven ya Umeme na Gas ipi nzuri?
  11. boda

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Nakushauri tafuta kampuni ya BEKO. ni nzuri sana inaweza kuwa plate 3 gas na 1 umeme.
Back
Top Bottom