laboratory scientist= is a person who works in a laboratory:
lab technician,,physcian,,processor engineer,phamacist & etc; both they are laboratory scientist(works in laboratory).
tatizo lako nalijua umeshindwa kutofautisha identinty ya mtu aliesoma bsc in lab...
Kwa hizi zama , mkuu /makamu mkuu wa chuo wanatakiwa kuwa maprofesa, mfano mzuri ni udom mbali na hao hata principal wa college lazima awe profesa,,dr(daktari) atakua dean tu!!!
inawezekana ni kijana mdogo hujui historical background ya mzumbe,,kilikua chuo cha certificate na diploma so wanaamini kupitia huko(falsafa yao)..
Narudia,,mzumbe ndicho chuo kinaongoza kuchukua diploma na wanahitaji D 4 o*level..
nimeshituka kusikia KCMC, imefungiwa course zote.lakini kwa udsm na udom ni sawa kabisa, udsm kuna course za sua wamekuwa wanacopy na kupaste bila kujua wenzao wamejipanga,,mfn, hiyo agricuture engineering ni more practical unaitaji kuwa na shamba,so kuna uwezakano hawa...
Na ukitaka kujua ukweli angalia selection za udsm zamani ilikua vigumu sana kudahili diploma holders! now wanachukua kwasababu ya uhaba na ushindani wa wanafanzi...pia muhimbili hata kama unaomba kupitia cheti cha diploma walitaka uwe umepitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.