Sipo katika misingi ya kubishana,So far so good CCM wana jukumu la Kutekeleza ilani ya 2015 Kabla ya kuja kuomba kura tena kwa wananchi.
Haihitaji elimu hata ya darasa la kwanza kuelewa kwamba Sera za JPM 2015 hazijatekelezeka.
Elimu
M 50 kila kijiji
kupandishwa kwa mishahara
Ajira
kuboresha...
BARUA YA WAZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
Awali ya yote natumai uu mzima wa afya.
Naandika barua hii kama Mtanzania mwenye wivu mkubwa wa kuona Taifa hili linapiga hatua na kujikomboa katika hali ya umaskini mkubwa tulio kuwa nao.
Mh Mwenyekiti ni zaidi ya Nusu karne sasa Chama chako...
Miezi kadhaa iliyopita, UDSM walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi DARUSO. Kama vile COHU, katika uchaguzi ule kulijawa na kila namna ya hila na unyama ambao ulifanywa na wajumbe kadhaa wa tume wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Hashim Kaduguda pamoja na msaidizi wake Pawa Izack...
Hoja namba 14 inaonyesha wazi ni jinsi gani huelewi amani na usalama kwa mapana yake. Huwezi kusema kasimamia katiba, amani na usalama ilihali kila kukicha waandishi wa habari wanapewa kesi zisizowahusu, wanatwkwa na kuteswa. Mfano mzurih Erick Kabendera na wengine. Achilia mbali mauaji ya raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.