Recent content by Bobwe2

  1. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hoja umetaja vyombo vya ulinzi na usalama, kuvipa taarifa ndio maana nauliza vyombo hivi vya ulinz na usalama mali ya ccm au kuna vyombo vyengne?
  2. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Vyombo vya ulinzi na usalam hivi mali ya ccm?
  3. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Hoja ya “Public” na Overt Act: Jinsi submission ya Katuga ilivyogeuka kuwa hoja ya Lissu na kuwa kinyume cha serikali

    Katika hao umma mimi wala sijachocheka na maneno ya lissu, wasiniingize sitaki, watafute mtu au kikundi kilichocheka na maneno ya lissu
  4. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    Huyu mkuu wa majeshi ni uvccm mtiifu,huwez kuwa mkuu wa majeshi bila ya kuwa na kadi ya ccm, kazi yake hapo ni kulinda chama
  5. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Unaifahamu katiba?katiba aliyoitumia nyerere na mkapa kuuwa ndio katiba hiyo hiyo aluyotumia samia kuuwa,nauliza tena why samia
  6. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Mtoa mada kwa fikra zake mauwaji hayajawahi kufanyika kwenye nchii hii,namkumbusha tu 1964 nyerere na akina okello waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,ukiachana na hilo mkapa pamoja na mahita waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,wote hao waliofanya mauwaji hayo hakuna...
  7. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Mimi sijui sheria,iwapo mshitakiwa atakaa mahabusu halafu huku nje polis na vyombo vya ulinz wakiuwa raia,kubaka,na kila aina ya uhalifu,je yule mshitakiwa kule mahabusu anahusika na yanatendwa huku nje?
  8. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi hawapendi Muungano Tena. Bila Muungano, wanasema, Watanganyika wasingeuawa kwa namna hii ya kutisha

    Sijawahi kuona unawashauri watanganyika,halafu huu ni muungano wa nchi ushauri wa kimipasho peleka sehemu yake
  9. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi hawapendi Muungano Tena. Bila Muungano, wanasema, Watanganyika wasingeuawa kwa namna hii ya kutisha

    Watanganyika mtaimba kila aina ya wimbo na kila ngoma mtaicheza,tokea april 1964 wazanzibar wamepoteza uhai kwa maelfu kwa kuupinga muungano huu mkajiona watanganyika mpo salama sana,mkae kwa kutulia na mkileta za kuleta mtazidi kupotea kaeni kwa adabu.
  10. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Wanatupanga ama ni kweli pameanza kuchangamka?

    Na ile ya ICC kutua nchini je?
  11. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Yaani mahakama imekubali kudhalilishwa kiasi hiki kwa kesi za kijinga,mtu mweus si mtu
  12. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

    Afadhali ng'ombe anaendelea vizir
  13. Bobwe2

    JamiiForums Tanzania Ukisikia unyakuo ndio huu

    Dakika 5 nyingi mjomba,ndani ya dakika 1 tu wamemaliza kazi,sisi hatuna jeshi tuna uvcmm wanaovalishwa kombat za jeshi na kufundishwa kulenga raia asie na silaha,mpinzani asie na silaha,na wakosoaji wasio na silaha.
Back
Top Bottom