Recent content by bobtama

  1. bobtama

    JamiiForums Man United

    Its us Again believe me Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bobtama

    JamiiForums Mapenzi hayachagui

    Hahaha hayo kweli makinikia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bobtama

    JamiiForums Kwa shida na raha

    Duu hilo poz la jombaa sasa hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bobtama

    JamiiForums Kwa shida na raha

    Mwanamke ka.ma kalazimishwa alafu hilo poz la jombaa sasa hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Mazungumzo yao nayapa kwa rafiki yangu mara ya kwanza walikaa wote wa tatu yaan binti mama yake mkubwa na rafiki yangu wakaongea akaja rafiki yangu kuniambia baada ya kikao mama yake mkubwa binti alikuwa anawasiliana na rafiki yangu kinachoendelea na yeye alikuja kuniambia kinachoendelea Sent...
  6. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Binti 23 mwanaume 28 mazungumzo yao nayapa kwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Chakushangaza ni kwamba huyo binti siku hizi amekua mnyonge sana kwao haongei na mtu mana mama yake mkubwa huwa anamwambia alichoamua si sahihi kuna alimwambia mama yake mkubwa kuwa anaona aibu hataki watu wengine wajue kilicho tokea .Ni amepeta mwengine au hasira au amebadili uamuzi wake wa...
  8. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Huyo binti huwa naongeaga nae alichodai ni kwamba rafiki yangu hamuamini mpenz wake anamchunguza sana kitu ambacho binti hapendi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Rafiki yangu huwa anakuja kuniomba Ushauri na nimuonavyo anampenda huyo nilicho mshauri amuache kwanza apunguze hasira zake akitulia kama ni hasira tu atamrudia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bobtama

    JamiiForums Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

    Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee...
  11. bobtama

    JamiiForums Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Word Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom