Recent content by Bobochi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Nakuona mfalme OGU wa Bashan mnefili uliyekuja na ID nyingine Zitto jr 🤣🤣
  2. B

    JamiiForums Tanzania Azam Media fukuzeni anayechukua picha za matangazo ya mpira, u-Yanga umemzidi

    Timu mbili pamoja na body ya ligi, karia na kidau Yani administration yote pale karume.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Hawezi thubutu kufanya hivyo. Akijaribu yatamkuta ya Malinzi na ndiyo itakuwa mwisho wake kwenye masuala ya mpira. Kwa jeuri aliyonayo Kuna ma God fadher... Ngoja niishie hapo[emoji1787][emoji1787]
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Alikuwa anazungumzwa Sana tuu. Msimu uliopita mechi tough zote alizocheza Simba ilikuwa lazima apate goli la penalty ya magumashi Tena dk 86 kuendelea, aidha Mechi tough lazima timu pinzani ipate red card dk za mapema Ili istruggle au Free kicks nyingi nje ya 18. Karia tangu mwanzo wa uongozi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Huyu mzee akiondoka pale TFF Kuna timu zitastruggle Sana kupata matokeo halali. Msimu huu wamedhamiria Azam fc wasishike nafasi ya pili kwa ajili ya kuwezesha timu Fulani zishiriki CAF CL.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

    Pot 1 kwenye confederation cup [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Zidane, Enzo astaafu soka akiwa na Umri wa miaka 29

    Lilian Thuram mwanae anaitwa Marcus Thuram anakipiga pale Inter Milan Italy Tena ni first eleven Kuna kipindi anamuweka bench Lautaro Martinez nyota kutoka Argentina. Pia Kuna Timothy Weah mtoto wa nyota wa zamani wa AC Milan na Rais wa Liberia. Timothy Weah anacheza timu ya taifa ya Marekani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimehamia Yanga Rasmi

    Azam uongo ni nyota nyekundu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi

    Kuna kituo Cha daladala kinaitwa tobo la kati [emoji23][emoji23]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

    MKAPA afumaniwa guest mbagala; ukisoma ndani kumbe ni bwana Hamisi Juma Mkapa mmakonde mmoja kutoka nanjilinji huko ndiye alutefumaniwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. B

    JamiiForums Tanzania Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

    Ni kweli, Simba wanakosea Sana kusema Yanga wanachukua mabaki waliyoyatema, Yanga wamemsajili Okra kutoka Bechem fc, pia wanasahau wao walivyomchukua Morrison kimagumashi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Washambuliaji raia wa kigeni wanaosajiliwa Simba wanapatwa na nini hadi wanaonekana wa mchongo

    Kwa hiyo Simba waliwahonga Al-Ahly Miquison akafunga goli? Miquison alisajiliwa na Ahly baada ya kuwasumbua na kufunga goli club bingwa Africa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

    Kwao siyo Nigeria, Okra magic alitoka club ya Bechem ya kwao Ghana
  14. B

    JamiiForums Tanzania UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Kuna Denis Undav kutoka vfb Stuttgart
Back
Top Bottom