Dah safi sana mdau pia kuna Pini kama I never find Someone Like You ya Keith Martin, Vijana wa Shai na vitu kama Comforter and come with Me, Jodeci na Forever My Lady, yaani ni muziki mtamu sana what a memories
Hello habari kama Post inavyojieleza n hapo juu kwa wale woote watakaopenda kujiunga na mchezo huu wa kunyanyua vitu vizito Tanzania Tuawsliane hapa maelezo zaidi nipm: ( mchezo huu sio bodybuilding ila hata kama ni bodybuilders unataka kujiunga na kujifunza unakaribishwa pia
sawa ila kila mtu si mjinga wa kujua kwa nini suala la vyeti vya huyu jamaa vinashabikiwa sasa ambapo yeye kaanzisha jambo flan kubwa katika nchi sasa unapoibua kashfa katikati ya vita lengo ni nn?? jibu unalo!! nchi ina utawala wa sheria kama una mashaka na yoyote na raia mwenzako mamlaka zipo...
Basi tutaomba mwenyekiti atuonyeshe cheti chake cha form 4 tu vingine hatutaki halafu tutadeal na hao mawaziri unaowasema hakika hapa hatutahitaji mashirika ya kimataifa kutatua vijitatizo vidogo kama hivyo
sidhani kama muda utakua kiongozi mzuri kwa uhanaharakati na siasa za kishilawadu kama hizi, muda utakua kiongozi mzuri kwa siasa za sera bora na mipango inayotekeleza na kila mtu anashuhudia hakika hakuatakuwa na kizuizi cha mabadiliko
Suala na uhakiki wa vyeti litakuja tu na halitamgusa huyo mnaemshadadia pekee hata mwenyekiti Dj ajiandae kuhakiki vyeti na pia mjiandae kuandaa topic nyingine ya kuhamisha mjadala wa msingi kama mnavyojitahidi sasa pindi mwenyekiti atakapotakiwa ahakiki vyeti
Haliwezi semwa kama linakuja kutuondoa katika mada kuu ya msingi maana yakisemwa hayo hata mwenyekiti dj hatakua salama katika suala la ubashite halafu akiguswa itatafutwa mada nyingine ndio maana linapuuziwa tu
kweli kabisa mateja ni wa chama ulichokitaja kwa kuwa huko wanapewa tiba..sasa wale wasiotaka kuacha uteja wana chaka lao la kukimbilia kwa pusha wao mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.