Recent content by Bobo Ashanti

  1. B

    Mgao umeisha hadi Januari - SERIKALI

    mkuu huku tandika azimio umeme umekatika ghafla kuanzia saa 8 mchana!
  2. B

    Jihadhari unapokuwa maeneo haya Dar es Salaam

    <br /> <br /> sehemu nyingine ya hatari baada ya saa 1 usiku ni Gerezani Kidongo chekundu na mtaa wa Nkrumah toka ofisi za Tigo hadi Supreme restaurant.Take care mapipo.
  3. B

    Genesis 3

    ADAM: It's chilly. EVE: I know.Also, these brambles are so scratchy. ADAM: And when the sun is out I burn. EVE: What about mosquitoes?Forget it. ADAM: You know what I really hate ? EVE: What? ADAM: Sitting on rough rocks...
  4. B

    Nani anakumbuka chupi za VIP?

    rafiki alipiga chogo chemba tukicheza mpira vip ikakatika maungio alipoinuka akakuta imepenya kwenye bukta iko kifuani kama sidiria.
  5. B

    Tamaa ya Mswahili

    umenikumbusha yule jamaa aliyemegewa mkewe na braza Dito enzi zile namna alivyowageuka na kuwashushua waandishi wa habari.
  6. B

    Bulgur Wheat Syndrome!

    sawa kabisa mkuu na rais wa marekani enzi zile alikuwa ni marehemu JohnKennedy hali ilitufanya baadhi yetu tuseme il mikono ni wa Nyerere na wa Kennedy.Those good old days buddies.
  7. B

    Nyerere na Kawawa

    Na watu wengi walimchukulia mzee Kawawa kuwa hajasoma kutokana na ile character aliyoigiza katika sinema ya 'muhogo mchungu' enzi za 19kweusi akiwa mwajiriwa wa idara ya ustawi wa jamii.Hata hicho kituko kilikuzwa kutokana na dhana kuwa hakufuta umande.Kumbuka mzee Kawawa alikuwa muasisi wa...
  8. B

    Sifa mbaya za makabila yetu

    uko sahihi kwa hilo
  9. B

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    biashara ya madawa ya kulevya inalipa ile mbaya ktk ulimwengu wa leo.nani kawasikia uvccm wakilizungumzia tatizo la madawa ya kulevya kwa vijana wetu hata siku moja??!
  10. B

    Ipe neno hii picha, anawaza nini?

    Eloi Eloi lama sabakhtani
  11. B

    Mkude gangwe!

    alipomtembelea tena mjomba wake kwa mara ya pili siku moja wakati anavuka barabara pale Manzese aligongwa na gari akafa.Gari ile ilikuwa ni ya balozi anaewakilisha nchi yake hapa bongo.Basi mambo yalienda hivi kule kwao Mvuha,''mwe Mkude kafa kifo kizuri,kagongwa na gari ya balozi"
  12. B

    Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

    unataka kusema hata mama Fatma Karume ameudanganya umma kwa miaka yote hii anaposema mumewe hayati mzee Karume ndiye aliyesimamia na kuongoza mapinduzi??
  13. B

    Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

    Waungwana naomba mnijuze hao raia/wananchi wa Zanzibar asili yaoi.e.mababu zao walitokea wapi?!
Back
Top Bottom