Dar es Salaam. Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejazana katika Uwanja wa Taifa linakofanyika kongamano la ndoa ya familia, huku baadhi wakieleza kuwa wamefika hapo baada ya kusikia habari kuwa itatolewa mikopo kwa familia masikini na wajane.
Kongamano hilo limeanza leo asubuhi...
Harmonize baada ya kuondoka Wcb Kwa muda mfupi tu matokeo yake yameeanza kuonekana zile One Million Viewers Kwa siku Hazipo tena Nachojiuliza pale WCB kuna mdudu gani Mbona Wakiondoka wanapotea Nimempigia Simu Msemaji Mkuu Maalumu Wa WCB cha ajabu hajapatikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.