Recent content by bobby dolat

  1. bobby dolat

    Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

    Sasa unaweza kushinda na ndizi na mchicha asubuhi mchana na jioni?
  2. bobby dolat

    Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

    Mama, nimefanikiwa kuacha vyakula vya wanga ingawa nyama bado natumia, shida ni mbadala wa hivyo vyakula ukiondoa hivyo vyakula ulivyoorodhesha ambavyo ni shida kuvipata nn kingine unaweza kutumia tusema hebu tuwekee hapa mfano wa milo mitatu ambayo mtu anaweza kutumia kwa b/fast, lunch na jioni...
  3. bobby dolat

    Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    Waheshimiwa nawasalimu, Nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, nilienda na familia yangu, yaani mke na watoto wangu, huwa ninafanya hivyo kila mwaka Ingawa sitoki Uchagani, huwa naamini kuwa baada ya kutoka kule mambo yangu kazini uniendea vizuri kutokana na baraka...
  4. bobby dolat

    Mrejesho: Mke wangu kalipenda hili jitu nini?

    Mama, nakusalimu Hili suala linahitaji hekma ya hali ya juu, huyu ni binamu yangu mtoto wa shangazi yangu, bado ni kijana mdogo isipokua tu ana li mwili likubwa la kuinua vyuma Kufukuza ndugu sio jambo rahisi hivyo, sio kwamba sijafanya kitu, tayari nimeshamweleza na kumpa Muda wa kuondoka...
  5. bobby dolat

    Mrejesho: Mke wangu kalipenda hili jitu nini?

    Wadau habari za Leo, natumai wote mko vizuri, Nilileta uzi uliosema; Mke wangu kalipendea nini hili jitu? Li jamaa hili ambalo hili binamu yangu ambalo lilitoka mkoani na kufikia kwangu lilikuja kwa mambo yake binafsi, na liliniambia litakaa kwa wiki moja tu nami nikaona haina shida, hata...
  6. bobby dolat

    Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta. Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer...
  7. bobby dolat

    Asipokubali kuolewa na rafiki yangu tajiri namtimua nyumbani kwangu

    Sina tatizo lolote, binti ninae mlea mm nyumbani kwangu na nimekabidhiwa ni lazima afuate taratibu za nyumba, binti hawezi kwenda kwenye njia isiyofaa halaf nikamtazama tu, akajipeleka kwa mvuta bangi, nikamwangalia tu
  8. bobby dolat

    Asipokubali kuolewa na rafiki yangu tajiri namtimua nyumbani kwangu

    Mkuu sijapeleka umbea police bali nimepeleka taarifa kama raia mwema, inaitwa community policing Kuhusu ukuwadi nalo sio la kweli, Huyu mfanyabiashara ni family friend, alikuja rasmi kwetu kutueleza nia yake, wakati akisuburi majibu akawa anarusha fedha, Leo atarusha laki Tatu, kesho tano...
  9. bobby dolat

    Asipokubali kuolewa na rafiki yangu tajiri namtimua nyumbani kwangu

    Wadau, nawasalimu. Kuna mdogo wa wife, ambae amekaa na sisi kwa Muda mrefu sasa, kwa kweli ameumbika beyond what words can say na nimekua nikiamini atapata jamaa wa nguvu mwenye kueleweka aolewe nae, kuna mfanyabiashara mmoja ambae yuko vizuri sana alitaka kumuoa alipitia kwangu kwanza, na...
  10. bobby dolat

    Kwa hili la Feza schools ni wazi Edorgan amechanganyikiwa

    Safi Sana, uchambuzi uliotukuka, ni wazi edorgan amechanganyikiwa, yy na team yake hawajui nani kahusika wanabahatisha tu,
  11. bobby dolat

    Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    Sielewi, mnatetea uzinzi au?
  12. bobby dolat

    Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    Mama, msihusianishe suala la mm kumtongoza shemeji na lile la uzinzi wake na mtu mwingine, hayahusiani Langu ni suala la miaka mitatu nyuma na nilishatubu na tukalisahau, hili la uzinzi ni jipya, nilitegemea aendelee kutunza uaminifu kwa mumewe hivyo hivyo alivyonikataa mm, in fact...
  13. bobby dolat

    Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    Dhambi ya kumtongoza shemeji nilitubu siku nyingi na ni jambo la Muda sana karibu miaka mitatu, nilishasahau, hivyo jambo hili halina uhusiano wowote na wivu na wala kupigwa kibuti Hoja kuu hapa ni kuwa ndugu yangu hana mke na anaweza kuumizwa kwa magonjwa au kubambikwa mtoto, ni lazima...
  14. bobby dolat

    Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    Kwa Hali hiyo uliyoeleza hapo juu ni kuwa ndugu yangu hana mke hapo hivyo ni vyema hizi taarifa zikamfikia ili aamue mwenyewe kuendelea nae au la kabla hajamuua kwa magonjwa,
  15. bobby dolat

    Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    Mkuu swala la mimi kumuomba papuchi shemeji sio la leo ni miaka mitatu nyuma na nilishatubu, nikaachana nalo, sasa sioni kwa vipi linahusiana na hili
Back
Top Bottom