Ni watu wawili tofauti.wazamani alifatuta washabiki kwa nguvu zote. bila kujali cheo cha mwanasiasa ili aridhishe mashabiki.na huyu wa sasa anajikomba kwa wanasiasa ili aweze pata uteuzi.kwani wanahabari wengi waliokuwa hata siyo level yake tayari wamelamba teuzi yeye bado.hii kitu inamchanganya.
Katika watz 60ml.alionekana mwanachuo pekee.hii ni nchi ya connection.wakwenye system ni wale wale.vyeo vya kupeana vimekuwa vingi.bila katiba mpya.twafwaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nape lazima amuelewe mama kwani yeye pamoja na wenzake wanajilia keki ya taifa bila kuangalia walalahoi wana hali gani.hii nchi.kungekuwa na katiba ya wananchi,na tume huru ya uchaguzi hawa viongozi wasingekuwa wanaongea hovyo.wala wasingekuwa madarakani.ila siku VAR zikifungwa kukakosekana...
Asalimia kubwa ni wabunge walioteuliwa na Serikali na siyo wabunge wa wananchi.kazi yao kubwa ni mapambio hakuna jipya litakalo endelea.raisi ataonyesha nguvu kwa kufuta baadhi ya tozo aonekane shujaa
Hii nchi ingekuwa wananchi ndio wapiga kura.viongozi wangewaigopa wananchi.wangetafuta njia za kupunguza makali ya bei ya mafuta na mfumuko wa bei.ila iko siku watu watachoka kufanywa wajinga.no longer at easy
Halimaye uporaji umefika ngazi ya familia.uporaji ulianzia uchaguzi wa serikali za mitaa. ukaenda wabunge na madiwani.uporaji ukaonekana siyo dhambi.vijana wameamua kuwaiga viongozi wao.viongozi wasiohitaji kura za wananchi.hawawajali wananchi na hawawezi tengeneza mfumo wa kusaidia...
Kosa la kukurupua watu. bila kuwapa hits za vitu wanavyokwenda kufanya.kuna siku wamasai waliandamana kutoka loliondo mpaka Arusha wakaulizwa .mmekuja kufanya nini wakasema hawajui ila wakiambiwa watawaambia.
Bila elimu na watu kujitambua.tuna kazi kubwa sana tz.
90% wasanii hawajielewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.