Recent content by BOB LUSE

  1. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza mtu aliyeamua kujiuzuru ni Akili au Matope!

    Ukiangalia sura za Viongozi na wafanya Maamuzi,utadhani ni wacha Mungu na wenye kutanguliza watu wengine na utu! Kumbe ni Manyang'au Mtu amewaachia Mavyeo,mna haja gani kuendeleza ajenda yake? Mungu asipomfuta mtu mtafanya kazi ya kuchosha. Mtoa wazo hilo na waliotekeleza Mungu awalipe...
  2. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  3. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Tuanze na Malori, yaishie Pwani kwenye Dry port , badala ya kupambana na wenye mabasi, kwenda Mbezi!

    Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
  4. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  5. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mawazo umewahi toa popote Serikali ikayachakata na kuyafanyia kazi? Eleza ilikuwaje. Ni wakati wa kutofautisha Wanaume na Wavulana!

    1) Road license,nilijikuta nadaiwa kwenye TIN yangu hela nyingi, kwa Magari ambayo niliyauza kama scraper/ watu ambao sikuweza kupata Mawasiliano nao hawakuhamisha umiliki wa magari hayo, nilitoa uzi hapa,kuombe kodi hii iwe indirect ( itozwe kwenye mafuta) ili kuondoa kukimbizana barabarani na...
  6. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa kudhani Dkt. Nchimbi ataondolewa kwenye Siasa kirahisi

    Biblia inatufundisha kuhesabu gharama kabla ya kujenga Mnara. Jaribio/ Mipango ya kumuondoa kwenye Siasa Madaraka/ Mamlaka Wahusika wajipange Vizuri. Namfahamu Nchimbi nimesoma naye O level, undergraduate najua uwezo wake kiushawishi na kupambania nafasi,pia ni mtu mwenye akili na maarifa...
  7. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Kutaka katiba mpya katika Mazingira ya Utawala usiojali Maoni ya wananchi ni kujitoa ufahamu!

    Malalamiko kila kona ya watu 1) Kutekwa 2) kubambikiwa kesi 3) kupoteza wenye mawazo tofauti,Mh Polepole n.k 4) kufuta hotuba/ maudhui yanayokera viongozi kwenye media 5) kutishia Wakosoaji/ Mawazo Kinzani 6) Wizi wa kura 7) kuua watu 29/10/25 8) Bunge lilipatikana kwa hila kuzinga 9)...
  8. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Rais kwanini anahangaika na Matumizi Mabaya ya fedha kualika Vyama visivyo na Wawakilishi ( Vyama Feki)?

    Joined May 2023! It's understandable, Endelea kujifunza!
  9. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Rais kwanini anahangaika na Matumizi Mabaya ya fedha kualika Vyama visivyo na Wawakilishi ( Vyama Feki)?

    Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa! Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa...
  10. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Dr Ayoub Rioba, afanye exclusive interview na Pascali Mayala, sio hao Watoto!

    Ile kwamba Paskali ni CCM,bado rekodi yake ya kuhoji Mambo Magumu na ufahamu Mkubwa wa katiba,Sheria.vinampa nafasi kubwa.Amewahi Muuliza Rais akashindwa kujibu Swali,Wabunge nao Waliishia kumhoji na kumpa vitisho. Pia ni Mkweli,hauzi utu wake,asingekuwa nasisi humu miaka yote
  11. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Dr Ayoub Rioba, afanye exclusive interview na Pascali Mayala, sio hao Watoto!

    Hata ukiniambia jina la huyo Mwanahabari,sijawahi sikia! Hard talk interview,hafanyi kila Mwanahabari,Wako watu Mahiri kwenye kazi hizo, Pale Mr Rioba ame dominate interview anajiona ana ongea point kwa kulingana na mtu anaye mhoji,anammudu!
  12. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Dr Ayoub Rioba, afanye exclusive interview na Pascali Mayala, sio hao Watoto!

    Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai, Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka...
  13. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Rais hatakiwi kulaumiwa kwa mauaji ya Oktoba 29

    Paskali. Kama Kawaida yako, Always uko nje ya boksi, umeua wewe na ukoo wako mbawajibika kwa damu za Watu.Vizuri watu wakipewa nafasi wajue kuna maisha zaidi ya Kazi na una Wajibu wa kulinda nafsi na Dhamiri yako.Hatufanyi kazi kwaajiri ya pesa tu,tunaangalia utu, integrity.Tuki focus kwa...
  14. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Nani Amehodhi fedha? Mzunguko wa pesa ni kipengele Mtaani!

    Wananchi wanaongea kimyakimyaa utasikia upepo sio mzuri n.k
  15. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Rais hatakiwi kulaumiwa kwa mauaji ya Oktoba 29

    Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto) Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu...
Back
Top Bottom