jamani naomba kujua mwezi wa sita nimenunua umeme wa tsh.9500 nilipewa units 75 mwezi huu nimeshindwa kuelewa kabisa tarehe moja nimenunua pesa ileile tsh.9500 nikapewa units 26 naomba kuelewa tatizo ni nini niko Kagera Biharamulo
wewe unataka bikira au hata used unaweza tumia maana kama unaweza ni rahisi yeye kuacha na wale wote anabaki na wewe ila kama unataka new achana naye we tembea tu
unapoamua kwenda kununua nyama lazima kwanza ujue ubora was bucha yenyewe kama wanachija mbuzi .ng'ombe wazuri siyo wababaishaji tu ndo ufunge mkataba huo kwa hiyo ni uamuzi wako kula nyama ya paja kila siku au utumbo tu ukichagua mkataba wa utumbo basi na unajua kuvunja mkataba...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.