Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni amepandishwa kizimbani

fala huyo hakimu.kesi zenyewe za kuchapana makofi vilabuni.afungwe miaka hata 30 kama sheria inaruhusu
 
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni, Omary Abdallah(Mwenye fulana ya damu ya mzee) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kushawishi rushwa ya Sh milioni moja na kupokea rushwa ya Sh 500,000/-

View attachment 527642

Halafu kwa muonekano wake tu hapo anaonekana ni Mlevi na Mbanduaji mzuri wa Mbunye. Naona hatimaye Mbuzi kafia kwa muuza Supu!
 
Dah!...huyu hakimu kijana kbs kasimamia kesi yangu moja vzr sn pale magomeni mwaka jana mwezi wa 9 hivi,aisee kweli hii jazwa ujazwe.



Pale niliona kesi nyingi ni za uswahilini haswa nyumba za urithi na mirathi
 
Back
Top Bottom