Epididimitis inaweza kutibiwa kwa dawa gani?
Hilo ndio Swali na ndio naliombea Majibu. Ungesoma Kwa utulivu kama ulivoandika Msg yako tungeelewana kwa urahisi.
Sorry Dr. Hivi karibuni nilikumbwa na dalili zilizonifanya nihisi Nina hernia lakini nilifanikwa kwenda hospitali nikafanyiwa utra sound na ikabainika kuwa sikuwa na hernia bali epididimitis nilipatiwa dawa lakini dawa zile bado sijaona Matokeo yake mpaka sasa.
Hivyo naomba kujuzwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.