Bn Bedas
Member
- Jan 7, 2021
- 10
- 2
Sorry Dr. Hivi karibuni nilikumbwa na dalili zilizonifanya nihisi Nina hernia lakini nilifanikwa kwenda hospitali nikafanyiwa utra sound na ikabainika kuwa sikuwa na hernia bali epididimitis nilipatiwa dawa lakini dawa zile bado sijaona Matokeo yake mpaka sasa.
Hivyo naomba kujuzwa na kufahamishwa aina nyingine t's dawa ambazo kwa Hakika zitakomesha Tatizo hili(Epididimitis).
Natanguliza Shukrani Zangu za dhati.
Hivyo naomba kujuzwa na kufahamishwa aina nyingine t's dawa ambazo kwa Hakika zitakomesha Tatizo hili(Epididimitis).
Natanguliza Shukrani Zangu za dhati.