Recent content by Bluu boy

  1. Bluu boy

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Hiyo ni kawaida sana tena huyo jamaa tunaendanda sana mm ndivyo nilivyo, siyo nyimbo tu mm hata beat naweza nkasikiliza hata week nzima
  2. Bluu boy

    JamiiForums Tanzania Calculator nyingi ni za uongo hebu angalia hii hesabu

    Hata mimi natumia samsung ila inaleta hivyo hivyo ,ila sio kwamba simu inadanganya ni kwamba simu aina zote ukipiga hesabu hivyo itakuletea majibu hayo hayo Kwahyo unavyo piga hesabu piga mfano ,ukipiga 6000+4000×10 itakupa jibu 46000 kwahiyo itabidi upige 6000+4000=10000 10000×10= 100000...
  3. Bluu boy

    JamiiForums Tanzania Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Haahaaha hatariii
  4. Bluu boy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kila nyumba ina kaharufu kake ila mgeni tu ndiyo hugundua

    Hiyo ni kwel kila familia ina harufu yake
  5. Bluu boy

    JamiiForums Tanzania S10 android 12 na ukosefu wa quick data button

    jaribu kuchek youtube
Back
Top Bottom