Misimu ya krismass ofa za matangazo msimu wa sikukuu za krismass ni tofauti na Eid hivyo tofauti zinaonekana, vipindi vya nyimbo za injili vipo tofauti zinaonekana hakuna vipindi vya kaswida, Fatma Almasi alipokuwa ITV alikuwa havai hijabu sasa anavaa tofauti hiyo.
Baada ya kubadili dini na kuwa Muislamu ndipo alipoanza harakati za ukombozi angalia filamu ya inaitwa Malcolm X ya mwaka 1994 utaelewa zaidi. Inaelezea historia yake kwa ufasaha sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.