Sjui hata wanadamu wa kitanzania wanakuwaga na nn, utasikia mtu anakuuliza kwa mshangao kheee! Hujaolewa!? Huna mtoto!? Unasubiri nn?!
Bila kujua hizo ni zawadi kuna kupata na kukosa, na zaid sana kila mtu anauhuru wa kufanya mipango na kutimiza malengo yake kivyake vyake muhimu havunji amani...
Kama mnaishi pamoja tatzo huanzia hapo, kuna wengine wamebariki ndoa juz wamekaa uchumba miaka 30. Wana wajukuu sasa, ila yako inanitsha maana hataki hata mpate na watoto, hii ni changamoto sasa.
Vp wazazi wako wanasemaje katika hilo?! Na ww unaonaje!? Maana kisheria mkishaishi miez mitatu...
Umeongea kwa hisia kali mkuu 🤣🤣, kuna mmoja aliniambia yy anapenda kuwa bonge mweny minyama zaid ya alivyo sasa hapend kuwa mwembamba ni anakula sijapata ona oyaa eenh kuna wadada wanajua kula jaman
Sidhan kama ni akili yako, ila kila mtu ana jinsi yake ya kuchanganyikiwa.........yan kuna muda tuuu uchizi unampata mtu kwa ghafla, lkn atakaa sawa baada ya muda mfupi.
Hakika ww ni mfano wa kuigwa, lakn wenzio hawaulizi zaid sana wanadanganya ooonh nitakuoa.....si mwanamke tu anapotezewa muda hata ninyi wanaume kuwa kweny mahusiano ambayo hujui hatma yake ni kupotezeana muda.
Ila ukistaajab ya Musa utaona ya Firauni, m4 mahari 😳, nadhan mimi ni mshamba au sielewi.........kama una eneo anza ujenzi wa mabanda ya uwani kisha upangishe.
Tatazo wenzetu wakipenda wamependa kweli, sasa huku kwetu anakaa na ww miaka mitatu au zaid alafu haupo peke yako anafanya kuwashindanisha kama ligi ya mbuzi.
Mwisho anaoa mwingine, baadae mambo yakimuendea mrama anakuja kukuambia kuwa alirogwa. Kumbe ni lana za aliowapotezea muda.
Kama anafaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.