Recent content by bluehawaii98

  1. B

    Crazy things you did in secondary school

    Siku za mvua hatutaki enda morning prepo so tunaweka vitanda kwenye entrances zote za bweni, tunapanda dalini na kutoa bulbs then tunakaa juu mpaka mvua ikate. A friend of mine almost fell down kwa kupitiliziwa na usingizi, ahahahahaha remembering this makes me laugh
  2. B

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Kwa sasa sielewi muelekeo wa serikali yetu, kila kukicha ni kugandamizwa kwa wananchi na kupotea kwa trust to our government. Sasa ni mwendo wa ku-enact laws pale jamaa anapoamka tu na mawazo ya asubuhi.
  3. B

    Baada ya kufungia channel za ndani kwenye vufurushi sasa fungieni na magazeti

    Kweli wameweza kudhibit, mbona condition inakuwa poa kitaa.
  4. B

    Maproducer wa EDM kwa Tanzania na East Africa

    Kuna any producer wa EDM, kama upo jitambulishe tuweze juana na kupeana support in any wway we can. Mi naitwa Raphael under alias ya BITMEX sijarelease tracks nyingi za EDM ila kun a lot of fire zipo in store nazishughulikia. Nafanya kila genre as long as iko energetic Future Bass(my area)...
Back
Top Bottom