Recent content by blueday

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya korosho, sasa zao la pamba limekosa wanunuzi nchini. Ni hujuma au ndio vita ya kiuchumi? Wanaogopa TRA kuwalundikia kodi na kuwafilisi?

    Mmmmh,pamba au zao lolote kukosa mnunuzi awamuu hii is not a big deal ilimuradi uchumi unakuwa kwa asilimia zaidi ya 7, hakuna tatizooo!!!😆😆😆😆
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nauliza swali: Ni kanuni gani inatumika kutoza kodi ya kuingiza (import) gari toka nje ya nchi?

    Ndugu mtanzania mwenzangu,Hii maada uliyoweka hapa kwa kweli hata Mimi ilinichanganya Sana miezi michache iliyopita nilipo nunua Toyota Wish toka Japan through Befoward. Nakumbuka nililipa USD 2500 sawa zaidi ya 6m Hera ya madafu lakini Kodi ili kuwa karibia 7m.Ukweli Ni kuwa jumla ya Kodi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    Binafisi kura yangu nitampatia Lissu hata Kama atahamia CCM, Over
  4. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna idadi ya kutisha tena ya watu wenye madaraka wanaodhani ujinga unamalizwa kwa vifungo, kuteka, kutunga sheria kali

    Hakika Daktari nimekuelewa Sana.Endelea kufundisha jamaniii
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwidiwe mwese!

    Igitotanzira higikena umgenziiiii
  6. B

    JamiiForums Tanzania Professor Issa Shivji ni kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao

    Kwa ninavyofikilia Mimi kwa uelewa wangu mdogo.Kwanza Akili ni Akili Kila mtu anazo kichwani,lakini Akili iliyotamkwa hapa ni ile ya uwezo wa kujua mamboooo kwa kiwango Cha juu.Pinguni ni neno ambalo limetokana na neno pingu.Pingu kazi yake ni kufunga,hivyo pinguni ni tendo la kufunga au...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CAG sio Muongo kwa vigezo hivi

    Abdul Nondo ahsante Sana kwa Nondo zanko.Hakika uko vizuri Sana nimekuelewa mkuu.Ngoja tuone hii ringi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hii hela ya Barick tuipeleke wapi? SGR Dodoma - Isaka au barabara hapa Dar?

    Nashauri tuelekeze barabara ya Nyakanaziiii to Kigoma jamaniiiii!!!!!Hawa no jamani tuwakumbukeeee
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

    Sawa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    Mmmmh,kwa kweli kiswahili chake ni Cha kibongoooo kabisaaaa.Rafudhi ya mtu asiye mbongooo Kama Mkenya,Mgandaaa na hata mtu yeyote ambaye si mbogo ni rahisi kumgundua ila jamaa huyu huwezi kusema si mbongooo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wito wa Hiari: Abdul Nondo achangiwe kwenda kumalizia masomo yake nje ya Tanzania

    Nadhani wazo lako siyo bayaaa.Ila inatakiwa apate nafasi ya kuendelea na masomo huko nje Kisha ndio wazo lako lifanyiwee kazi mkuu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Kuzaliwa kabla ya Ndoa: Rais Magufuli ALIFUTA agizo la Waziri Mwakyembe

    Mkuluu hongera sana kwa kupangua swala la cheti cha kuzaliwa kuwa kigezo cha Kufunga ndoa. Ila huyu huyu uliyepangua matamshi yake ya vyeti ndiye aliyetoa matamshi ya kudelete TLS iwapo tu ........Naomba pia mkuluu ungepangua na swala la kudelete TLS
  13. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Duuuuu!inasikitisha Sana.Hivi kupigania haki pia Ni kosa Kisheri?.Tunakuombea Sana Kamanda.Mungu akutetee katika mite go yote,Amina.
Back
Top Bottom