Recent content by blogaman

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Pasco bana we unakaaga ukiwazia mazuri tuu hakuna hata siku moja unawazia mabaya rafiki.
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Kwani ni ajabu Lowasa kujiunga CHADEMA?? Alijiunga Dr Slaa toka CCM,wakampokea, Mtei mwenyewe alikuwa CCM,sasa nani alikuwa KANU hapo?? Acheni utoto,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Simchukii mtu, Lakini kwa utaratibu huu tutafika?

    sasa ukiondoka unamwachia nani??wahindi wamejaa Kariakoo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

    Bila kutarajia na kwa s usiri wa hali ya juu wapinzani wakitegemea kikao cha bunge kitaendelea wiki ijayoJumatatu 6/7/2015 badala yake kimefanyika jumapili na wabunge wengi wa upinzani wakiwa mikoani na mjadala unaendelea kama kawaida kama kawa na UKAWA nje ya bunge.kumekucha na inawezekana...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gari mpya Kabina inauzwa kwa Tsh Mil 786,892,800/= (ROLLS-ROYCE Brand New)

    kutest ni bei gani
  6. B

    JamiiForums Tanzania ITV Live: Kongamano la CHADEMA Tafakari ya Wazee Kuhusu Uchaguzi 2015

    Kweli watu wameichoka ccm leo nimepanda daladala nikaisifu ccm kwa maendeleo kidogo nichapwe makofi na mzee mmoja anaonekana katoka musoma huyu,mzee kaniuliza una umri gani unashabikia ccm,nikaohopa kidogo wanishushe kwenye gari,mwenyewe nikaamua kushuka kabla sijafika kituo changu cha samakisamaki.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Hatukatai mtu kufungua account nje ya nchi,tunapinga watu kuiba pesa za kodi ya wananchi masikini unapeleka nje.hii ndiyo hoja ya msingi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Nakubaliana na Mh Tundu Lissu,wabunge wamekuwa masikini kwa madeni makubwa mpaka wengine wanakufa kwa pressure.
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM na siri za miswada ya dharula

    Kuna uhusiano gani kati ya hii Miswaada na pensheni ya mamilion ya wabunge TSH 230,000,000/=. Najaribu kufigure out kwanini Mh Mnyika alisema atazikataa,hapa napata mashaka makubwa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Wanaomzunguka

    Mchawi mkabidhi mwanao.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza kuaga mikoani, Jumatano ataanza Arusha

    Anaenda Arusha kumtambulisha Edward Ngoyai Lowasa Laigwanan kama rafiki yake mkubwa atakayempokea kijiti cha Magogoni.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie mtu pekee anaeweza jaribu kujiengua kutoka CCM endapo Lowassa atapitishwa kugombea urais

    Nakubali kweli ndani ya CCM kuna mtikisiko mkubwa ambao haujapata kutokea,Mapinduzi makubwa yanapaswa kufanyika sasa na sio sasa sasa hivi,Dk JM Kikwete hana budi kuchukua hatua kama Rais na sio kama Jakaya,Maamuzi yake yatakuwa ni kumbukumbu ya Kiama cha CCM
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbona hamalizi kujaziwa fomu za udhamini?

    Watu ni wengi wanataka kumuona ndio maana anachelewa kurudisha form.Tumvumilie tuu
  14. B

    JamiiForums Tanzania I want to be President

    "I WANT TO BE PRESDENT" I would like to ask all those who are aspiring for presidency only one question. 1. How will you raise the value of a shilling to dollar? The exchange rate Now stands at 1USD = TSH 2,300/= Before independence the exchange rate was TSHS 3 against 1 dollar. After all...
Back
Top Bottom