Tafadhali wana ukawa hakikisheni mnawafafanulia wananchi kinagaubaga waelewe madhara ya kupitisha hii miswada kwa dharura. Hapa mmesha score political points. Sasa mkabiliane ma upotoshaji wa maccm. Halafu wakiwafungia kwenda bungeni tokeni kwa wananchi pale jangwani au hapo ddm pigeni mkutano wa nguvu kuwaumbua hawa mafisadi.Hawa ndorobo ndiyo wanazidi kujimaliza na kutupatia hoja za kuwashawishi wananchi kwa nini ni hasara kuwa na wabunge wengi wa ccm, wenyewe wanafikri wanawakomoa ukawa kumbe ndiyo wanawiapa nondo za kuwachapia, asanteni sana mafisi wa kijani toka lumumba.
Kuna uhusiano gani kati ya hii Miswaada na pensheni ya mamilion ya wabunge TSH 230,000,000/=.
Najaribu kufigure out kwanini Mh Mnyika alisema atazikataa,hapa napata mashaka makubwa.