Recent content by blo

  1. B

    Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

    kaka hayo malori ndo yapo hapo yard ya tazara kaibu na kiwanda cha sigara cha TCC?toa details za credit inakuaje ineed two units brooo
  2. B

    TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

    hiyo ni overhead bridge na sio flyover! Flyover gani unatembea 30 seconds imeisha?tembea nchi za watu ujionee tofauti kaka
  3. B

    IMF yataja nchi 28 Maskini zaidi, Tanzania haipo

    Based on GDP dimension Tanzania hatupaswi kuwa kweye hiyo list but when it come on HDI Tanzania tunaweza kuwa top ten kwa sababu GDP haiangalii income inequality,life span,health,education,peace and security ambavyo ndo muhimu na vinamgusa mwananchi mmoja mmoja
  4. B

    Maajabu nane ya Reli mpya ya Dar - Moro

    Wasiwasi wangu ni kwamba hyo phase one itachukua miaka zaidi ya saba kukamilika,muda utaongea
  5. B

    Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?

    acha siasa kwenye biashara kaka tunataka biashara za ushindani ili kuwe na ufanisi na unafuu kwa watumiaji unataka kuuwa private sector alafu hapohapo unataka kukusanya kodi kutoka private sector unataka kuuwa private sector alafu unalalamika hakuna ajira kama n hoja ni hivyo basi hata tbc...
  6. B

    Rushwa imepanda bei

    Rushwa hasa katika level za chini za watumishi waserikali hususani trafiki police, hospitalini, wizarani, TRA, Bandarani zimepanda bei kwa kasi sana mfano trafiki anakukamata anakubambikia makosa anakuambia akuandikie Tsh 60,000 au umpe Tsh 30,000 aweke mfukoni. Rushwa ni adui wa haki, kataa...
  7. B

    Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    Riba 80% kwa miaka mitano inaaman kwa mwaka riba ni asilimia 16% ambayo ni kubwa sana ukilinganisha na bank zetu za ndani ambazo ni 8%-12% kwa dollars.nawasiwasi na hii habari kama ina vielelezo zaid kama copy ya mkataba alete tuone lakini najua JPM hawezi kukubali kukopa kwa riba kubwa hvyo
  8. B

    Gazeti la mwananchi limekuwa gazeti lisilojali maslahi ya Taifa la Tanzania

    gazeti la kenya unategemea litaandika mazuri kwa watanzania?watatuletea ukabila kama kwao huko tuje kuchinjana
  9. B

    TRA yatoboa siri watu 56,000 kuwania nafasi 400 za kazi

    ration hapo ni 1/140, yani kila ya watahiniwa 140 atapata kazi mmoja tu, au probability ya kupata kazi ni 0.007
  10. B

    Kila goti litapigwa! GSM waanza kuisoma namba!

    hizi story si mahala pake huku, kazipeleke kule facebook kwa wenye upeo kama wako
  11. B

    Bei mpya ya vifurushi vya dstv

    MWAMBIE AZAM AJIPANGE YEYE AENDELEE KUPANDISHA BEI TU
  12. B

    Kumbe Lissu alishawahi kuinanga IMMMA Advocates bungeni, alidai ilitumika kuanzisha makampuni yaliyochota fedha za EPA

    wahenga walisema unapoongea ukumbuke kuweka maneno ya akiba,
  13. B

    Kwa mara ya kwanza, Serikali yachukua gawio la Tsh. Bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB

    Mimi hapo cjaelewa serikali imepata gawio au imechukua share zake?kama gawio miaka yote hyo crdb inapata faida mbona serikali ilikuwa haipati gawio lake? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Enzi za mwalimu tundu lissu asingetakiwa kuwepo tena tz, maana huyu ni kibaraka wa wazungu,hv tz ikikosa kununua ndenge tundu lisu anafaidikaje?
  15. B

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kumbe lissu anapambana na magufuli na sio maendeleo ya watz na watu wa jimboni kwake?ukienda singida wananchi ni maskini wa kutupwa alafu mmbunge wao kla siku mahakamani kumtetea wema sepetu,jifunze kwa ndesamburo,mkono, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom