Recent content by blissbaby

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amenichunia

    Nitajishusha najua tu ila kwa sasa roho inasita. Kinachonisikitisha ni jinsi navyojitoa kwake na moyo wote lakin yy kunijali tu kwa huu ujauzito ni ngumu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amenichunia

    Asante ! Hakuana sababu yoyote ni mtu wa moods,nilishajaribu sana kumfanya aache kuwa na moods. Yes anajua ni ujauzito wake
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amenichunia

    Habarini wapendwa wa JF Ni matumaini yangu wote ni wazima. Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa kubembeleza pale nnapochuniwa. Nina ujauzito wa miezi sita kasoro ila huyu mwenzangu hajali hata, na ni mimba...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Na bei gan?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Fungua genge na ufuge samaki aina ya kambale kwa mtaji wa sh 50k.
Back
Top Bottom