Kaka ngoja niquote verse kwenye nyimbo ya rayvanny ya unaibiwa "ukiwa na pesa utasifiwa kitambi" cha msingi tafuta pesa kaka utasifiwa na hicho kitambi chako.....ila umeandika kwa hisia kinomaaa
this is out of conscious....kiutu tu ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuchoma a living creature, no one has the authority to take a life of any creature in such a manner
Ni ku factory restore sema factory restore inaianzisha simu inakua kama ulivoinunua mpya ila kuroot unamuondolea mamlaka kabisa aliyeitengeneza hiyo simu na kujipa ww mwenyewe
mkuu kuroot simu za tecno mara nyingi inapelekeaga kuziharibu....inakua ukiwasha inaanza kuoptimize application zote za sim na ina weza kuchukua hata dakika 5 kuwasha tu simu yako
kuroot ni kitendo cha ku restore simu ili uwe na mamlaka kama ya developer wa simu...lengo kubwa la kuroot ni pale ambapo baadhi ya vitu vinasumbua kufunguka mpaka uwe na developer permissions.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.