Watoto wa kiume wadogo wanatupenda sana siku hizi

Madanga mazito yameanua nanga ukiona hivyo, umri wa kujuta ndiyo huo sasa maana kipindi kile ukiwa na umri kama hao madogo wa size yako uliwapiga chini ukaona unadai. Tena kipindi wao ndiyo wapo serious, ila sasa ukiwa upo serious wa aina ile hawapo.

Unaamua kurudi wa umri ule, ukiona utawapata wadogo waliyo serious
 
hawa madogo wanavooa wakubwa madogo zao unadhani wataenda wapi? ecology ishabadilika mzee hakuna kulaumiana
 
Ni vile tu sina tabia hyo ila nikitaka ni sekunde mtaani hakuna shikamoo wala nini ni mambo dada ukijisahau unaliwa au kuolewa kabisa.

Ngoja wamalize mitihani tuolewe tu hamna namna.Bora kuolewa na mtoto kuliko kuwa mchepuko wa wazee wenzangu.

Vijana wa miaka 35-40 ambao hawajawai kuoa ni pasua kichwa usijaribu.

45-ni watalaka hawa nao sio wa sport sport

50-nao watalaka au wagane nao sio mchezo

60-wastaafu hawa nao watalaka au wagane wana hadi wajukuu

25- kwenda chini brand new wanatulia kabisa refer Dogojanja, Uchebe, Brown wa Wolper, Diamond wa Zari.
Hata mi ni under 30, nakupenda ujue
 
Kuna uzi uliletwa humu japo wanatoa mapovu kwa dogo janja lkn nyuma kuna watu wanatamani nadhan tushaanza kusikia
 
Njoo inbox,ukipenda gegedo la kijana au la kizee utapata,ukitaka kuolewa pia utapata, ni juhudi zako tu.....
 
Miss Natafuta

Kula kitu roho inapenda, mradi usishuke chini ya 18th birthday.

Kwenye mapenzi yeye anakuwa mtoto na wewe unakuwa mtoto wake ngoma droo.

Ni haki yako ya kikatiba.

Halafu katika mila zetu nyingine Kiafrika haswaa, mwanamke ni mdogo kwa mwanamme. Kwa hiyo kwa karata ya uanamme,hata huyo mdogo anakuwa mkubwa kwako.
 
Ni vile tu sina tabia hyo ila nikitaka ni sekunde mtaani hakuna shikamoo wala nini ni mambo dada ukijisahau unaliwa au kuolewa kabisa.

Ngoja wamalize mitihani tuolewe tu hamna namna.Bora kuolewa na mtoto kuliko kuwa mchepuko wa wazee wenzangu.

Vijana wa miaka 35-40 ambao hawajawai kuoa ni pasua kichwa usijaribu.

45-ni watalaka hawa nao sio wa sport sport

50-nao watalaka au wagane nao sio mchezo

60-wastaafu hawa nao watalaka au wagane wana hadi wajukuu

25- kwenda chini brand new wanatulia kabisa refer Dogojanja, Uchebe, Brown wa Wolper, Diamond wa Zari.
dada ndo kwanza miaka 24 nafikisha nadhani nnafaa kabisa kukuchukua
 
Back
Top Bottom