Recent content by Blessed Keinerugaba

  1. Blessed Keinerugaba

    Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

    Uhaini tena? Mapenzi yaachwe tafadhali, tafuta tu namna sahihi ya kuyafurahia.
  2. Blessed Keinerugaba

    Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

    Huko sina kamanda aisee. Tufanye tu ibada ya maombi, au ikibidi nitakuja mwenyewe, niko Karagwe hapa, sio mbali sana.
  3. Blessed Keinerugaba

    Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

    uko wapi tukutumie msaada chap.
  4. Blessed Keinerugaba

    Mchanganuo wa bolt na Gari ya Aqua

    Kwa dom, hesabu ya siku kwa Bolt ni bei gani?
  5. Blessed Keinerugaba

    Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

    Mtoto mzuri ambaye uko Dom come and be my valentine.
  6. Blessed Keinerugaba

    Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

    Kumkopesha ndugu ni mtego, kama ni lazima kumkopesha mkopeshe unayoweza kusamehe bila kuvunja undugu. Infact ni Watanzania wachache wenye sifa ya kukopeshwa. Watz wengi wana vinasaba vya utapeli na kutokuwa na makini.
  7. Blessed Keinerugaba

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Mkuu, kubarikiwa si ile kupata mambo mema/mazuri kutoka kwa nguvu zilizo juu yetu (Kutoka kwa MUNGU katika namna nyingine ya kusema).
  8. Blessed Keinerugaba

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Kila aliyekuwa mwaminifu kwa imani yake huwa amenyooka.
  9. Blessed Keinerugaba

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Mkuu si unaibuka hata na nomino mbadala. Lakini ukiaca u-atheist sijaona jambo baya sana mkuu.
Back
Top Bottom