Recent content by Bless25

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Hawa vijana wa sikuhizi ni changamoto sana na ni wajuaji mno. Hapo hakuna anachokielewa ila kwasababu ni engagement anatafuta basi wacha aendelee Ukimsikiliza kwenye video hapo anasema tembea inatosha ukishapungua ndo ukimbie. Sasa je mwili unafahamu vipi hapa nafanya zoezi la kukimbia na hapa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Kwa mawazo yangu malezi ya aina hiyo bado yanahitajika sana. Ukichunguza vizuri ndiyo aina ya malezi ambayo yalijenga vizazi imara na bora kabisa. Ni vizazi ambavyo muundo wa maisha ulikua programmed kwenye muelekeo mzuri wa maadili, tabia hata uchapakazi. Ila naona ulikua na changamoto chache...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DC Petro Magoti: Tumekamata gari kutoka Mbezi lenye watu 50 waliokuwa wanakuja Kisarawe kununua ardhi kwa laki 2

    Hii nchi hii Wanunuaji wana makosa gani? Kununua ardhi Tanzania ni lini imekua kosa? Huo utaratibu wa kununua ardhi kupitia kwa mkuu wa wilaya umeanza lini? Tanzania Tanzania Tanzania🙌
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

    Simba sisi tunajenga team
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kumpigia kura P.O.Sakho, CAF Goal of the Year ni kujipotezea muda tu. Wengine kuamua mshindi

    Uchawi ni kitu kibaya sana[emoji1005][emoji1005][emoji1005]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    [emoji7][emoji7]
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya simba ni kubwa sana lengo lao Mo abwage manyanga

    Kama huna data ni bora ukanyamaza...
Back
Top Bottom