Recent content by Bless21

  1. Bless21

    MSAADA: Pesa ya Morroco, Dirham inabadilishwa Tanzania?

    Hello JF, Naomba kuuliza kama Dirham ya Morocco inabadilishwa Tanzania, niko Zanzibar.
  2. Bless21

    Naweza kupata pesa zangu kama nimepoteza kadi ya bank bila kuanza kutafuta loss report?

    Wana jamii forum naomba kuuliza jambo nimepoteza kadi ya bank sihitaji ku renew ile card lakin nahitaji tu kutoa pesa zangu zilizopo baasi maana nina card ya bank nyingine ambayo nitaitumiaa kama replacement. Je, inawezekana kuchukua peaa zangu bila kupitia polisi kutafta loss report maana kuna...
  3. Bless21

    Nataka nikasome Tour Guide (short course)

    Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea chuo kimetangaza kinataftia vijana AJIRA kabisaa baada ya kumaliza nimeona hii ndio fursa nzuri kwangu...
  4. Bless21

    Nimekaa sana mtaaan nataka nikapige short course ya tour guide

    Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea chuo kimetangaza kinataftia vijana AJIRA kabisaa baada ya kumaliza nimeona hii ndio fursa nzuri kwangu...
  5. Bless21

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Mambo ya dini yana maswali mengi ambayo hayana majibu kwanza tuweke pembeni bible na quran haya maandishi yamegunduliwa mwaka gan.!? Na hizi biblia na quranzimeandikwalin jama ziliandikwa toka zaman huko zaman waliandika waap tunaomba kujuaa
  6. Bless21

    Mjadala mpya: Ni nani aliwaokoa abiria 24 wa ndege ya Precision Air?

    Ukiachilia mbali maajabu hayo sisemi kwasababu ya wivu hapana najaribu kwe na uhalisiaa binafsi najua hata mlango wa daladala kuupiga mpk ufunguke kwa kasiaa sio jambo rahisi lakini sasa utakuaje mlango wa ndege ufunguke na ninavojuaa mimi huenda mlango wa ndege ni imara zaidi kwasababu ndege...
  7. Bless21

    Ubakaji ndani ya bahari; Serikali imeshindwa kuvunja mabanda ya 'beach boys'?

    Niliendaga pale kawe watu wanatombana nje njee afu ukiangalia pemben hv kuna kanisa la mwamposa afu pale beach kuna wakina mwamposa jr wanajifunza kuibiaa watu et wanawaombea wanao ogelea
  8. Bless21

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Hizi story za dini zimekaa kama story za kalynda E-commerce na mchina wao Mr.Thomas tunapangwa sana
  9. Bless21

    Watanzania wote diaspora wangekuwa kama EBM tungekuwa mbali sana

    We ungekua canada usingekua na mawazo haya ya watu wa ushirimbo kule siha me watu ambao wako nje mawazo yao nayajuaa
  10. Bless21

    Watanzania wote diaspora wangekuwa kama EBM tungekuwa mbali sana

    Au upo ontario ya buguruni maana hata buguruni kuna mahali panaitwa Ontario
Back
Top Bottom