Recent content by blance86

  1. blance86

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

    Kiuhalisia pesa ambayo mofat ameweka hapo ili iweze kurudi na kumpa faida kabla mqbasi hayajachoka ni kudhibiti hizo boda na daladala ila sasa wakibaki peke yao wataanza viburi tena labda wabadilike wasiwe kama zile za kimara
  2. blance86

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Kaamua kufanya kweli kazi kweli kweliiii
  3. blance86

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watoto wote wa mtaani vichaa na waokota Makopo wote wameuawa?

    Mkuu mtu ajifanyishe kulala barazani na barabarani?
  4. blance86

    JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

    Watu wanapesa jamani
  5. blance86

    JamiiForums Tanzania HAPA KITU TUMEITOA KAMA TULIVODESIGN ,3BEDROOMS ALL SELF KARIBU UJENGE NASI +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

    Hapa ndio kijana anatafuta wateja hivyo,kujieleza tu ni changamoto
  6. blance86

    JamiiForums Tanzania Hii ya Yanga kuchangia CCM na kushindwa kuchangia CHADEMA au vyama vingine vya siasa imekaaje

    Yaani nikachangie tofali la ubingwa pesa yangu uende CCM?bora na mpira wenyewe niache kushangilia
  7. blance86

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Milioni 200 labda chama cha upinzani ila kwa ccm watu wamefilisika hasa kuna mtia nina kamaliza zaidi ya ml 400 na wajumbe wamemla kichwa miaka hii siasa imekuwa ngumu haswa maana wafanyabiasha wakubwa wanakimbilia huko kwaajili ya kujilinda na madili yao hivyo wanamwaga pesa balaa
  8. blance86

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watoto na ndugu wa familia za viongozi wakuu wa nchi waliojitosa kuwania ubunge 2025 na kupita kamati kuu

    Alafu yule mtoto wa nyerere aliyechukua fomu kawe wamemkata daaah...kweli ccm inawenyewe
  9. blance86

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Ila wabongo sijui ni ushamba au ni kitu gani kinachotusumbua binafsi siwezi kuendesha gari nikapakia mtoto siti ya mbele kabisa na akikaa siti ya nyuma lazima afunge mkanda na nimarufuku kurukaruka au kucheza nikiwa naendesha gari na kingine mtoto chini ya miaka mitano lazima milango niweke...
  10. blance86

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Tuache kutetea umasikini kama ni sifa vile kwani hao watoto wake walishindwa hata kuiboredha hiyo nyumba ikawa ya kisasa kama mzee aligoma kuhama hapo?au wangewanunua baadhi ya majirani wakaongeza ukubwa wa eneo wakapatengeneza pakawa pa kisasa zaidi kwaiyo mzee angekataa!?hakuna binadamu...
  11. blance86

    JamiiForums Tanzania Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

    Vitoto vya afu mbili na tano hivyo Mh vitajulia wapi😂
  12. blance86

    JamiiForums Tanzania Je Kati ya dalali na mwenye kiwanja nani yupo sahihi

    Ila madalali sijui wamelogwa au ni tamaa tu kuna mmoja aliondoka na mteja wake wa gari kisa laki tano tu😂
Back
Top Bottom