Recent content by Blamesh

  1. Blamesh

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wahaha na Mwigulu Nchemba

    tuliwafukuza vibaraka wa kikoroni,kumbe wazawa mpo?kwa manufaa binafsi uutie udhia umma?hatutakuacha hai siku ikifika.
  2. Blamesh

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono Pinda kuitwa mpumbavu waondolewe Jamii Forum

    watu wanaudhiwa na mfumo wa utawala wa viongo dharimu wa serekali tawala,ata mimi nachukia.kwa hasira zetu ndo tunatusi,lait wangekua kalibu ni mangumi tu.
  3. Blamesh

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jikoni; Kesi ya kesho ya Henry Kileo itakavyokuwa na Mpango wa kumkamata Mbowe

    Mungu ibariki ChaDeMa
  4. Blamesh

    JamiiForums Tanzania Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Anajidanganya,alikosa cha kuchangia.Ndevu kana uchafu wa kwenye sumaku.
  5. Blamesh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kukomoana na kurushana roho

    Heee utaniwi na wewe!?nilikuwa kwenye homewark njue ukoje.
  6. Blamesh

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wasiwepo,Jaji achaguliwe na Wananchi,Rais ashitakiwe ata akiwa madarakani,Wabunge wa kuteuliwa wasiwepo,Mawazili wachaguliwe nasio kuteuliwa.
  7. Blamesh

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Hawa wakuu wa mikoa na wilaya wasiwepo,na jaji angechaguliwa na wananchi nasio raisi,na wabunge wa kuteuliwa wasiwepo,Rais ashitakiwe ata akiwa madalakani.
Back
Top Bottom